Wananchi wakifuatilia hotuba ya Mhe. Makamba katika Ukumbi uliopo Mlimani City, Dar.
Mbunge wa Bumbuli na Naibu Waziri wa Mawasiliano, Sayansi na Teknolojia, Mhe. January Makamba leo ametangaza nia ya kuwania Urais kupitia CCM, ataja vipaumbele vyake vitano vikiwemo Kuinadi ilani ya CCM, Huduma bora za Jamii, Usimamizi uchumi na Kulinda amani na usalama.
Mhe. January ametangaza nia yake katika Ukumbi uliopo Mlimani City jijini Dar es Salaam jioni hii.
No comments:
Post a Comment