Mtanzania Aliyetengeneza helikopta atembelewa na wataalamu wa anga Unknown 10:26 PMMkazi wa Tunduma mkoani Songwe, Adam Kinyekile aliyetengeneza helikopta ametembelewa na wataalamu kutoka Mamlaka ya Usafiri wa Anga Tanzani... Read more No comments:
RAIS MAGUFULI AMFUTA KAZI MKURUGENZI WA HALMASHAURI YA WILAYA YA BAGAMOYO Unknown 9:57 AMRais wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania, Mheshimiwa John Pombe Magufuli ametengua uteuzi wa Mkurugenzi wa Halmashauri ya Bagamoyo. Read more No comments:
Rais Magufuli Atoa ONYO Kali....."Mimi sijaribiwi, wasije kunijaribu Unknown 10:37 AMRais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli leo tarehe 29 Julai, 2016 ameanza ziara ya siku nne katika mikoa ya Singida... Read more No comments:
CCM Yajibu Tamko Lilitolewa na CHADEMA Unknown 10:53 PM Juzi tarehe 27/7/2016 Chama Cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), walitoa kauli kwa Waandishi wa Habari kupitia Mwenyekiti wa Chama hich... Read more No comments:
Bodi ya Mikopo (HESLB) imetangaza majina ya wadaiwa wasiotaka kulipa mkopo Unknown 3:05 PMBodi ya Mikopo ya wanafunzi wa elimu ya juu (HESLB), inawaarifu wadaiwa wote ambao mpaka hivi sasa hawajaanza kulipa mikopo waliochukua k... Read more No comments:
Askari Polisi aliyemuua Daudi Mwangosi Ahukumiwa kifungo cha miaka 15 Jela Unknown 1:00 AMAskari wa kikosi cha kutuliza ghasia (FFU) mwenye namba G .2573 Pacificius Cleophace Simon (27) Mahakama kuu Kanda ya Iringa imemuhukumu ki... Read more No comments:
Ajali : Basi la UDA lagonga Treni na kuua mtu mmoja na wengine zaidi ya 45 kujeruhiwa. Unknown 10:41 PM Ajali imetokea usiku huu kati ya treni na basi la Uda linalofanya safari zake kati ya Kariakoo na Mbagala na kuua mtu mmoja na wengine za... Read more No comments:
Haya Hapa Matokeo Ya Kidato Cha Sita(ACSEE) Na Ualimu (DSEE Na GATCE) 2016 Unknown 2:30 AM1. ( FORM 6 ) ==> BOFYA HAPA KUYAANGALIA>> 2.DSEE==>> Bofya Hapa 3.GATCE==> Bofya Hapa Read more No comments:
SHULE YA SEKONDARI LINDI YATEKETEA KWA MOTO Unknown 10:29 AMUsiku wa kuamkia leo moto mkubwa uliwa na kuteketeza majengo na samani za shule ya sekondari ya Lindi. Moto huo ambao ulianza majira saa sab... Read more No comments:
BREAKING NEWS: FORM FIVE SECOND SELECTION FULL LIST 2016 Unknown 1:09 AM PO-RALG ORODHA YA MAJINA YA WANAFUNZI WALIOCHAGULIWA KUJIUNGA NA KIDATO CHA TANO AWAMU YA PILI (SECOND SELECTION) K... Read more No comments:
MKUU WA WILAYA YA TUNDURU, HOMERA AKUTA KITUO CHA POLISI HAKUNA HATA POLISI MMOJA Unknown 11:11 AMMkuu wa wilaya ya Tunduru Mhe. Juma Zuberi Homera (pichani) afanya ziara ya kushitukiza katika kituo cha Polisi Matemanga, Kata ya Namwinyu ... Read more No comments:
NACTE Yavifutia Usajili vyuo 5 nchini na vingine 41 vyafungiwa kuendesha mafunzo. Unknown 9:18 AMBaraza la Taifa la Elimu ya Ufundi (NACTE) limetangaza kuwa vyuo 5 vimefungwa kuendesha mafunzo na kufutwa kwenye rejista ya vyuo vya ufundi... Read more No comments: