Askari wa kikosi cha kutuliza ghasia (FFU) mwenye namba G .2573 Pacificius Cleophace Simon (27)
Mahakama kuu Kanda ya Iringa imemuhukumu kifungo cha miaka 15 jela askari Pasificus Simon kwa kosa la kumuua bila kukusudia aliyekuwa mwandishi wa habari Daudi Mwangosi wa channel ten.
Mauaji ya mwandishi huyo wa habari aliyekuwa pia mwenyekiti wa Klabu ya Waandishi wa habari mkoa wa Iringa yalitokea mwezi Septemba ,2012 kwenye mkutano wa Chadema.
Akitoa hukumu hiyo jaji mkuu wa mahakama kuu Tanzania Kanda ya Iringa Paul Kiwelo Amesema mahakama hiyo mara baada ya kukamilisha mashaurino na upande wa utetezi na Jamhuri na kumtia hatiani askari wa kikosi cha kutuliza ghasia (FFU) mwenye namba G .2573 Pacificius Cleophace Simon (27) mahakama imetoa adhabu ya kifungo cha 15 kutokana na kosa la kuua bila kukusudia.

No comments:
Post a Comment