What's Trending?

Labels

Ads

Sunday, July 10, 2016

SHULE YA SEKONDARI LINDI YATEKETEA KWA MOTO

Usiku wa kuamkia leo moto mkubwa uliwa na kuteketeza majengo na samani za shule ya sekondari ya Lindi.

Moto huo ambao ulianza majira saa saba usiku, ulifanikiwa kuzimwa na jeshi la zimamptp lakini ukiwa tayari umeshateketeza madarasa tisa, na baadhi ya sehemu ya ofisi nne na maabara mbili zikiwa zimeteteke.


Aidha, Samani ambazo hasa ni madawati yanakadiriwa ni zaidi ya 300 yaliyoteketea kutokana na moto huo.




Hakuna mtu aliyeripotiwa kudhurika na ajali hiyo lakini ni kitendo cha baadhi ya wananchi kutokuwa waaminifu na kujaribu kuiba mali za shule hiyo wakati wa uokoaji.


No comments:

Post a Comment