Tayari ‘Icon’ wa Tanzania Diamond Platnum ‘Dangote wa Bongo’ ameweza kuibuka na ushindi wa tuzo tatu katika usiku wa utoaji wa tuzo Africa Muzik Magazine Award ‘AFRIMMA 2015’. Marekani katika mji wa Texas.
(Pichani ni baada ya ushindi huo, Diamond aliweza kuweka picha yake hiyo kupitia mitandao yake yote ya kijamii na kuandika: I realy don’t know What to say …dha! hata sijui nizungumze nini…
(Eeh Mungu baba tunakushkuru sana kwa kuzidi kuunyanyua na kuupa Thamani mziki wetu wa Afrika Mashariki…tafadhali endelea kutushika mkono, usituache)
#BestDanceVideo #EastAfricanArtistOfTheYear #AfricanArtistOfYear #afrimma2015″ Hivyo ndivyo alivyofunguka Diamond katika kurasa zake za mitandao ya kijamii huku akipata hongera nyingi kutoka kwa mashabiki wake mbalimbali.

Diamond akiwa na Basket wakati wa tuzo hizo jana usiku
hii ndio list ya washindi.
Best Male (South Africa) – AKA
Best Male (East Africa) – Diamond Platnumz
Best Male (Central Africa) – Yuri Da Cunha
Best Male (West Africa) – Davido
Best Female (East Africa) – Vanessa Mdee
Best Female (West Africa) – Yemi Alade
AFRIMMA Inspirational Song – Bracket feat. Tiwa Savage and Diamond Platnumz for ‘Alive’
Best DJ (US) – DJ Simplesimon
Best Newcomer – Ommy Dimpoz
Best Collaboration – AKA feat. Da Les and Burna Boy for ‘All Eyes on Me’
Best Dance Video – Diamond Platnumz for ‘Nana’
Best Video – Wizkid for ‘Ojuelegba’
Artist of the Year – Diamond Platnumz
Legendary Award – Yossou N’Dou
See the first photos.
No comments:
Post a Comment