Kuna picha unaweza kuona mtu kapost kwenye mitandao ya kijamii alafu ukaona kama ni picha ya kutengenezwa hivi na haina ukweli wowote.. amini kwamba ziko nyingine ni za ukweli kabisa!!
Julius Kipkoech katusogezea hizi picha… haya ndiyo matumizi mengine ya hizi gari aina ya Toyota Probox ndani ya Kenya mtu wangu.
Hii imebeba abiria.. Ukiangalia kwa haraka haraka watu waliomo ndani na mizigo imezidi uwezo wa gari yenyewe.
No comments:
Post a Comment