What's Trending?

Labels

Ads

Sunday, June 7, 2015

WAKAZI WA LINDI WAMPOKEA KWA SHANGWE MHESHIMIWA BERNAD MEMBE ATANGAZA NIA

                            Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa na Mbunge wa Jimbo la Mtama, Bernard Membe akisalimia umati wa wana CCM na wakazi wa Lindi, katika Viwanja vya Ofisi ya CCM Mkoa, wakati akitangaza nia ya kugombea Urais wa Tanzania kwa tiketi ya
Chama Cha Mapinduzi (CCM) katika Uchaguzi Mkuu ujao wa Mwezi Oktoba. Picha zote na Cathbert Kajuna wa Kajunason Blog.
Wananchi wakimlaki kwa hamu waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa na Mbunge wa Jimbo la Mtama, Bernard Membe.
Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa na Mbunge wa Jimbo la Mtama, Bernard Membe akikaribishwa Ofisi ya Chama Cha Mapinduzi (CCM) mkoa.
Umati wa Wananchi uliofurika kumsikiliza waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa na Mbunge wa Jimbo la Mtama, Bernard Membe wakati akitangaza nia ya kugombea Urais wa Tanzania kwa tiketi ya Chama Cha Mapinduzi (CCM) katika Uchaguzi Mkuu ujao wa Mwezi Oktoba.
Mwenyekiti wa CCM Mkoa wa Lindi, Mzee Ali Mohamed Mtopa akimkaribisha waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa na Mbunge wa Jimbo la Mtama, Bernard Membe mara baada ya kufika katika Viwanja vya Ofisi ya CCM Mkoa, wakati akitangaza nia ya kugombea Urais wa Tanzania kwa tiketi ya Chama Cha Mapinduzi (CCM) katika Uchaguzi Mkuu ujao wa Mwezi Oktoba.

Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa na Mbunge wa Jimbo la Mtama, Bernard Membe akiongozana na mkewe mara baada ya kufika katika Viwanja vya Ofisi ya CCM Mkoa, wakati akitangaza nia ya kugombea Urais wa Tanzania kwa tiketi ya Chama Cha Mapinduzi (CCM) katika Uchaguzi Mkuu ujao wa Mwezi Oktoba.

Mwenyekiti wa CCM Mkoa wa Lindi, Mzee Ali Mohamed Mtopa akiwa katika jukwa kuu na waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa na Mbunge wa Jimbo la Mtama, Bernard Membe mara baada ya kufika katika Viwanja vya Ofisi ya CCM Mkoa, wakati akitangaza nia ya kugombea Urais wa Tanzania kwa tiketi ya Chama Cha Mapinduzi (CCM) katika Uchaguzi Mkuu ujao wa Mwezi Oktoba.
Mwenyekiti wa CCM Mkoa wa Lindi, Mzee Ali Mohamed Mtopa (kushoto) akisalimia na Sir George Kahama katika Viwanja vya Ofisi ya CCM Mkoa.
Sir George Kahama akiwasalimia wakazi wa CCM Mkoa wa Lindi, mara baada ya kufika katika Viwanja vya Ofisi ya CCM Mkoa, wakati Mheshimiwa Bernard Membe akitangaza nia ya kugombea Urais wa Tanzania kwa tiketi ya Chama Cha Mapinduzi (CCM) katika Uchaguzi Mkuu ujao wa Mwezi Oktoba.

Mbunge wa Mchinga Mheshimiwa Said Mtanda akiwakaribisha wakazi wa CCM Mkoa wa Lindi, mara baada ya kufika katika Viwanja vya Ofisi ya CCM Mkoa, wakati Mheshimiwa Bernard Membe akitangaza nia ya kugombea Urais wa Tanzania kwa tiketi ya Chama Cha Mapinduzi (CCM) katika Uchaguzi Mkuu ujao wa Mwezi Oktoba.

No comments:

Post a Comment