Petr Cech kutoka Chelsea kwenda Arsenal – Undisclosed
Arsenal wamemsajili Petr Cech kwa dau linalodaiwa kuwa ni pauni milioni 11
Dimitri Payet kutoka Marseille kwenda West Ham – Undisclosed
Imeripotiwa West Ham wamelipa kiasi cha pauni milioni 10 kumnasa kiungo huyo wa Ufaransa
James Milner kutoka Man City kwenda Liverpool – Mchezaji huru
Milner anataka kuchezeshwa nafasi ya katikati
Gerard Deulofeu kutoka Barcelona kwenda Everton – Pauni million 6
Winga huyo wa Hispania likuwa akikipiga kwenye klabu hiyo (Everton) kwa mkopo tangu msimu wa 2013-2014
Kevin Wimmer kutoka FC Cologne kwenda Tottenham – Undisclosed
Tottenham imemsajili mlinzi huyu kijana wa Australia kuimarisha safu yake ya ulinzi Andre Ayew kutoka Marseille kwenda Swansea – Mchezaji huru
Mshambuliaji huyu wa Ghana amesajiliwa kuziba pengo lililoachwa na Wilfried Bony.
Tyrone Mings kutoka Ipswich kwenda Bournemouth – Undisclosed
Juanmi kutoka Malaga kwenda Southampton – Undisclosed
Micah Richards kutoka Man City kwenda Aston Villa – Mchezaji huru
Aston Villa wamemnyakua Richards bure baada ya kutoka Fiorentina alikokua kwa
No comments:
Post a Comment