Captain Lufufu Mukandala, Legendary Voice Over Artist, mtaalamu wa Kutafsiri filamu zenye lugha ya Kigeni kwa kiswahili amefariki dunia jana usiku kutokana na Ugonjwa wa Presha, alikua anaelekea harusini mida ya saa moja usiku bahati mbaya njiani akaanguka, ndugu walijaribu kumwahisha hospitali ili kuokoa maisha yake bahati mbaya kufika hospitalini alikua ameshafariki, msiba upo nyumbani kwake Vingunguti Machinjioni
Mungu ailaze roho ya Marehem mahali pema peponi
Source: Familia
No comments:
Post a Comment