What's Trending?

Labels

Ads

Sunday, July 12, 2015

MRISHO NGASSA HAYUPO NYUMA NA MAMBO YA UCHAGUZI WA CCM…

ngassa
Kila mwananchi kuanzia watu maarufu hadi wananchi wakawaida wanafuatilia kwa makini kinachoendelea kwenye mkutano wa CCM huko Dodoma. Mkutano huo ndio utafanya maamuzi ya kumpata mgombea wa urais kwa kupitia Chama Cha Mapinduzi.

Hadi sasa kwa mujibu wa tweet za CCM ni kwamba Mheshimiwa John Pombe Magufuri ndio ameshinda uchaguzi huo na ataiwakilisha CCM kwenye uchaguzi mkuu. Mrisho Ngassa na yeye ametumia page yake ya instagram kuonyesha kufurahia uteuzi huo ambao unategemewa kutangazwa rasmi leo.
Rais Jakaya Mrisho Kikwete ameonyesha mapenzi makubwa na kusaidia sana swala zima la michezo, kama Mh John Pombe Magufuli akipigiwa kura na wananchi wa Tanzania na kushinda uchaguzi mkuu. Basi jamii ya michezo inategemea usimamizi wake mkubwa ulionyooka kama kawaida yake tulivyomzoea kwenye wizara alizowai kuongoza.
nnn

No comments:

Post a Comment