What's Trending?

Labels

Ads

Saturday, July 11, 2015

MKUTANO MKUU WA CCM KUFANYIKA LEO SAA TATU USIKU


Katibu wa NEC Itikadi na Uenezi CCM Taifa Ndugu Nape Nnauye akizungumza na waandishi wa habari nje ya ukumbi wa NEC mjini Dodoma na kuwaambia kuwa Mkutano Mkuu wa CCM utafanyika leo saa tatu usiku na zoezi linaloendelea sasa ni upigaji kura za kupata majina matatu yatakayopelekwa kwenye mkutano mkuu ili kupatikana moja la mgombea wa Urais kwa kupitia CCM.Pia Dk.Ali Mohamed Shein amepitishwa kugombea Urais kwa tiketi ya CCM Zanzibar.

No comments:

Post a Comment