What's Trending?

Labels

Ads

Saturday, July 11, 2015

JESHI LATUMIKA KUWATAWANYA WAFUASI WA EDWARD LOWASSA WALIOKUWA WAKIPINGA JINA LAKE KUKATWA NA KUTOINGIA 5 BORA YA URAIS DODOMA.



Wapambe na wafuasi wa Edward Lowassa wakitambaa katika barabara kupinga mgombea huyu  jina lake kukwatwa na kamati kuu ikiwemo kushindwa kuingia katika wagombea tano bora.


Gari linalotoa maji ya kuwasha likiwa nje ya jengo la makao makuu CCM.

No comments:

Post a Comment