
Wiz Kid kutoka Nigeria mshiriki kwenye tuzo za MTV Africa Music award amedai hamuofii msanii yeyote.Wasanii anaoshindanishwa nao ni pamoja na Diamond Platnum na Davido.Huku wingu zito likitanda kwenye mitandao ya jamii,team Wema kumpigia kula msanii huyo wa Nigeria kutokana na chuki ya mafanikio kwa mbongo mwenzao.

No comments:
Post a Comment