What's Trending?

Labels

Ads

Sunday, June 14, 2015

BREAKING NEWS BASI LAGONGANA NA LORI NA KUUA WATU ZAIDI YA 20 TANZANIA


Habari zilizotufikia hivi punde ni kwamba gari ya Kampuni ya Another G inayofanya safari zake Njombe kwenda Iringa imegongana Lori Semi Trailler .

Taarifa zinasema kuwa ajali hiyo imetokea katika eneo la Kinyanambo,njia panda ya Madibila huko Mafinga.
Inaelezwa kuwa waliofariki dunia mpaka sasa ni 22 wanaume 15 na wanawake 7 na majeruhi ni 34.

Hiyo ni kwa ufupi tutaendelea kuwajuza kupitia  mti wa dawa blogspot.

No comments:

Post a Comment