What's Trending?

Labels

Ads

Wednesday, June 10, 2015

PHOTO’S: Yaliyojiri kwenye birthday party ya KASSIM MGANGA usiku huu na waliolishwa keki wako hapa


_MG_3836                        June 10 msanii wa bongo fleva kutokea Tanga Tanzania alikuwa anasherehekea siku yake ya kuzaliwa pande za Coco Beach ile sehemu wanayouza mihogo na mishkaki. Kassim aliwaalika washkaji zake wachache waje kula keki na kufurahi nao kwa pamoja.
Hizi ndizo baadhi ya picha nilizokuchukulia usiku huu wa kuamkia tarehe 11 _MG_3847
June 10 msanii wa bongo fleva kutokea Tanga Tanzania alikuwa anasherehekea siku yake ya kuzaliwa pande za Coco Beach ile sehemu wanayouza mihogo na mishkaki. Kassim aliwaalika washkaji zake wachache waje kula keki na kufurahi nao kwa pamoja. Hizi ndizo baadhi ya picha nilizokuchukulia usiku huu wa kuamkia tarehe 11.
_MG_3851 _MG_3853 _MG_3855 _MG_3858 _MG_3860 _MG_3866 _MG_3867 _MG_3868 _MG_3869 _MG_3871 _MG_3872 _MG_3875 _MG_3876 _MG_3878 _MG_3881 _MG_3882 _MG_3883 _MG_3884 _MG_3887 _MG_3888 _MG_3890 _MG_3893 _MG_3895 _MG_3897 _MG_3899 IMG_3829 IMG_3830 IMG_3840 IMG_3842 IMG_3862 IMG_3863

No comments:

Post a Comment