What's Trending?

Labels

Ads

Friday, June 12, 2015

MUSIC AUDIO -KURADILI- KALA JEREMIA,STAMINA,SNURA MUSHI,G NACO na wasanii wengine-

Nyimbo mpya ya muunganiko wa wasanii mbalimbali kutoika nchini tanzania kama KALA JEREMIA,STAMINA,SNURA MUSHI,G NACO na wasanii wengine wakiamua kuhamasisha watanzania kujiandikisha kwa wingi katika daftari la kudumu la wapiga kura ili waweze kupiga kura kwani kura yao ni Dili kubwa sana

No comments:

Post a Comment