What's Trending?

Labels

Ads

Monday, June 20, 2016

SIWEMA APATA MPENZI MPYA BAADA YA KUACHANA NA NAY WA MITEGO (+PICHAZ HAPA)



Mzazi mwenzake na msanii wa Bongo Fleva, Emmanuel ElibarikiNay wa Mitego’, Siwema Edson anaendelea kufurahia maisha ya uraiani ikiwa ni mwezi mmoja toka mahakama ya
Mwanza kutengua kifungo cha miaka miwili jela na kumhukumu kifungo cha nje cha miaka miwili
Aprili mwaka huu mahakama hiyo ilimtia hatiani mrembo huyo kwa kosa la kutukana matusi kwa njia ya mtandao.


Hata hivyo mpenzi wake wa zamani Nay wa Mitego ndiye aliyemsaidia kutenguliwa kwa kifungo hicho cha miaka miwili jela na kuwa cha nje.


Siwema akiwa na kijana anayedaiwa kuwa mpenzi wake
USISAHAU KULIKE PAGE YETU YA FACEBOOK HAPA CHINI                                                                                        

No comments:

Post a Comment