
Msanii Cyril Kamikaze ameamua kumaliza mgogoro uliopo kuhusu wimbo wake mpya wa Cheza kidogo, alioshirikisha Raymond.Kwenye ukurasa wake wa Instagram Cyril ameadika ujumbe mrefu na kuelezea ni jinsi gani ameumizwa na kauli ya Raymond kuwa ameamua kutoa wimbo huo sasa ili kupata kiki, ingawa alikiri kufanya kazi hiyo na yeye kabla hajawa maarufu.Katika waraka huo Raymond amesema ameamua kumaliza mgogoro huo kwa kutoipa promo tena nyimbo hiyo, na hata video ambayo alishaanza kuiandaa ameghailisha, na kuamua kuifanya kama bonus track kwa mashabiki.alichokiandika Cyril kamikaze. Hapo jana baada ya Raymond kufanyiwa interview na eNews ya EATV, alikiri kufanya naye wimbo huo kabla hajawa maarufu, ila amesema amechukizwa na kiteno cha Cyril kutoa wimbo huo sasa, wakati yeye amekuwa maarufu zaidi chini ya WCB.
WIMBO WENYEWE UPO HAPA CHINI
USISAHAU KULIKE PAGE YETU YA FACEBOOK HAPA CHINI

No comments:
Post a Comment