Mwenyekiti wa CCM na Rais mstaafu Dr.Jakaya Kikwete akizungumza na wanaccm katika shehere za maadhimisho ya miaka 39 ya kuzaliwa cha Chama cha Mapinduzi(CCM) katika viwanja vya Namfua mkoani Singida.Sikiliza yaliyojiri katika shehere za maadhimisho ya miaka 39 ya kuzaliwa cha Chama cha Mapinduzi(CCM). USISAHAU KULIKE PAGE YETU YA FACEBOOK HAPA CHINI
No comments:
Post a Comment