What's Trending?

Labels

Ads

Thursday, January 7, 2016

Mmbwana Ally Samatta Anyakua Tuzo ya Mchezaji bora wa Afrika Anayechezea Barani Afrika.

Wiki ya kwanza ya mwaka 2016 Tanzania yaanza kushine katika anga za kimataifa baada ya mchezaji wa soka  kutoka Tanzania ambaye pia ni mchezaji wa klabu ya TP Mazembe iliyopo Jamuhuri ya Kidemokrasia ya Kongo (DRC) ameshinda tuzo ya kuwa mchezaji bora wa mchezaji bora wa soka Afrika mwaka 2015 kwa wachezaji wanaochezea Afrika.usiku wa january 8 katika hafla iliyofanyika Abuja nchini Nigeria.

Mbwana Samatta (wa pili kushoto) akikabidhiwa tuzo tuzo ya kuwa mchezaji bora wa mchezaji bora wa soka Afrika mwaka 2015 kwa wachezaji wanaochezea Afrika.usiku wa january 8.
Samatta akionesha uzalendo wa nchi yake Tanzania.......MTIWADAWA BLOGSPOT inampongeza Mbwana Samatta kwa tuzo ya kuwa mchezaji bora wa mchezaji bora wa soka Afrika mwaka 2015 kwa wachezaji wanaochezea Afrika...MUNGU IBARIKI TANZANI.
Hii ndio list ya washindi wa tuzo hizo kwa mwaka 2015
Timu bora ya taifa kwa mwaka Ivory Coast
Timu bora ya taifa ya wanawake Cameroon)
Mchezaji mwenye uungwana (Fair Play) Allez Casa wa Senegal
Klabu bora ya mwaka TP MAZEMBE
Mchezaji bora chipukizi Etebo Oghenakoro
Mchezaji bora kijana Victor Osimhen wa Nigeria
Kocha bora wa mwaka ni Herve Renard mfaransa ambaye alikuwa kocha wa Ivory Coast
Mchezaji bora wa kike Gaelle Enganamouit kutoka Cameroon
Refa bora wa mwaka ni Papa Bakary Gassama kutoka Gambia
 USISAHAU KULIKE PAGE YETU YA FACEBOOK HAPA CHINI                                                                                       

No comments:

Post a Comment