What's Trending?

Labels

Ads

Friday, November 6, 2015

RAIS MSTAAFU JAKAYA KIKWETE AONDOKA RASMI IKULU NA KUELEKEA KIJIJINI MSOGA LEO


Rais Mstaafu wa awamu ya nne Dkt Jakaya Mrisho Kikwete akiagana na watumishi wa Ofisi ya Rais Ikulu wakati akiondoka rasmi katika jumba hilo waliloishi kama Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kwa miaka 10 iliyopita. kushoto kwake ni Rais wa awamu ya tano Dkt. John Pombe Joseph Magufuli


Rais wa awamu ya tano Dkt. John Pombe Joseph Magufuli akimsindikiza Rais Mstaafu wa awamu ya nne Dkt Jakaya Mrisho Kikwete wakati akiondoka rasmi Ikulu alimoishi kama Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kwa miaka 10 iliyopita.

Rais wa awamu ya tano Dkt. John Pombe Joseph Magufuli akimsindikiza Rais Mstaafu wa awamu ya nne Dkt Jakaya Mrisho Kikwete na mkewe mama Salma Kikwete wakati wakiondoka rasmi Ikulu alimoishi kama Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kwa miaka 10 iliyopita.

Wakielekea kwenye helikopta itayowachukua hadi kijijini Msoga

Picha ya pamoja kabla safari ya Msoga kuanza

Rais wa awamu ya tano Dkt. John Pombe Joseph Magufuli akiagana na Rais Mstaafu wa awamu ya nne Dkt Jakaya Mrisho Kikwete na mkewe mama Salma Kikwete wakati wakiondoka rasmi Ikulu walimoishi kama Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kwa miaka 10 iliyopita.

Rais wa awamu ya tano Dkt. John Pombe Joseph Magufuli, Katibu Mkuu Kiongozi Balozi Ombeni Sefue na Katibu Mkuu Ikulu Mhe Peter Ilomo na watumishi wa Ofisi ya Rais wakiagana na Rais Mstaafu wa awamu ya nne Dkt Jakaya Mrisho kikwete
USISAHAU KULIKE PAGE YETU YA FACEBOOK HAPA CHINI                                                                                        

No comments:

Post a Comment