What's Trending?

Labels

Ads

Friday, November 6, 2015

Hapa kazi tu: Rais John Pombe Magufuli afanya ziara ya ghafla wizara ya fedha


Akitembea kwa miguu na maofisa usalama kuelekea Wizara ya Fedha.Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dk.John Pombe Magufuli amefanya ziara ya kushtukiza kwa kutembea kwa miguu kutoka Ikulu hadi katika Wizara ya Fedha na kukagua utendaji kazi wa wafanyakazi wa ofisi hizo, hata hivyo alikuta baadhi ya maofisa wakiwa nje ya ofisi zao.


Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dk.John Pombe Magufuli akisani kitabu cha wageni baada ya kufika Wizara ya Fedha.

...Akikagua utendaji kazi wa wafanyakazi mbali mbali wizarani hapo.

USISAHAU KULIKE PAGE YETU YA FACEBOOK HAPA CHINI                                                                                        

No comments:

Post a Comment