What's Trending?

Labels

Ads

Sunday, November 1, 2015

Bodi ya Mikopo yatangaza Majina ya Mwanzo ya Waliopata mikopo kwa ajili ya elimu ya juu..Bofya hapa kupata matokeo

http://www.ippmedia.com/media/picture/large/HESLB-feb12-2013(1)(1).jpg
Tunapenda kukufahamisha kuwa Awamu ya Kwanza ya orodha ya majina ya waombaji wapya wa mikopo kwa mwaka wa masomo 2015/2016 inapatikana kupitia olas.heslb.go.tz.


Kwa msingi huo, tunakanusha taarifa zinazosambazwa katika baadhi ya mitandao ya kijamii kuwa Bodi ya Mikopo ya Wanafunzi wa Elimu ya Juu haitatoa mikopo kwa wanafunzi

wanaojiunga na wanaoendelea na masomo katika vyuo vya elimu ya juu kwa mwaka wa masomo 2015/2016
 
>>bofya hapa kupata matokeo moja kwa moja<< 
LIKE PAGE YETU YA FACEBOOK HAPA CHINI                                                                                        

No comments:

Post a Comment