What's Trending?

Labels

Ads

Sunday, October 25, 2015

Rais Kikwete Naye Keshapiga Kura....Kasema Tarehe 5 Atakabidhi Nchi

Rais Jakaya Kikwete amesema kuwa Tarehe 5 Mwezi November 2015 atakuwa Rais mstaafu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania.Rais ameyasema hayo alipokuwa akipiga kura leo
katika jimbo la Chalinze-Msoga ambapo aliambatana na mkewe Mama Salma Kikwete.

No comments:

Post a Comment