Mgombea Mwenza wa Urais kwa tiketi ya CCM, Mama Samia Suluhu Hassan akiwasalimia wananchi waliosimamisha msafara wake katika eneo la Buseresere, wakati akiwa njiani kutoka Geita kwenda Bukoba kuendelea na kampeni leo
Vijana wa Buseresere, wakimshangilia Mgombea Mwenza wa Urais kwa tiketi ya CCM, Mama Samaia Suluhu Hassan, msafara wake uliposimamishwa na vijana katika eneo hilo wakati akiwa njiani kutoka Geita kwenda Bukoba mkoani Kagera leo
Wananchi wakimshangilia Mgombea Mwenza wa Urais kwa tiketi ya CCM, Mama Samia Suluhu Hassan alipozunguza na waliposimamisha msafara wake katika eneo la Buseresere, wakati akiwa njiani kutoka Geita kwenda Bukoba kuendelea na kampeni leo
Wananchi Buseresere
Mwana mama akiwa kazini wakati msafara wa Mgombea Mwenza wa Urais kwa tiketi ya CCM,Mama Samia Suluhu Hassan aliposimamishwa na wananchi katika eneo la Buseresere mkoai Geita leo
Wananchi wakitazama msafara wa Mgombea Mwenza wa Urais kwa tiketi ya CCM, ulipopita eneo la Chato mkoani Kagera, huku wakiwa karibu na bango la shule inayotumia jina a Mgombea Urais kwa tiketi ya CCM,Dk. John Magufuli
Mgombea Mwenza wa Urais kwa tiketi ya CCM, Mama Samia Suluhu Hassan akiwasalimia wananchi waliosimamisha msafara wake katika eneo la Chato, wakati akiwa njiani kutoka Geita kwenda Bukoba kuendelea na kampeni leo
Mgombea Mwenza wa Urais kwa tiketi ya CCM, Mama Samia Suluhu Hassan akiwasalimia wananchi waliosimamisha msafara wake katika eneo la Chato, wakati akiwa njiani kutoka Geita kwenda Bukoba kuendelea na kampeni leo
Wananchi wakimsikiliza Mgombea Mwenza wa Urais kwa tiketi ya CCM, Mama Samia Suluhu Hassan alipowasalimia katika eneo la Chato, wakati akiwa njiani kutoka Geita kwenda Bukoba kuendelea na kampeni leo
Wananchi wakimsikiliza Mgombea Mwenza wa Urais kwa tiketi ya CCM, alipowahutubia waliposimamisha msafara wake katika eneo la Chato mkoani Geita leo
Mgombea Mwenza wa Urais kwa tiketi ya CCM, Mama Samia Suluhu Hassan akimnadi Mgombea Ubunge jimbo la Chato kwa tiketi ya CCM, Dk. Karineli katika mkutano wa kampeni uliofanyika leo katika jimbo hilo.
Wananchi wakimshangilia Mgombea mwenza wa Urais kwa tiketi ya CCM, Mama samia Suluhu Hassan alipowahutubia katika mkutano wa kampeni uliofanyika jimbo la Chato mkoani Geita leo
Msafara wa Mgombea Mwenza wa Urais kwa tiketi ya CCM Mama samia suluhu Hassan ukiendelea na safari kwenda Muleba mkoani Kagera leo
Msafara wa Mgombea Mwenza wa Urais kwa tiketi ya CCM Mama samia suluhu Hassan ukiendelea na safari kwenda Muleba mkoani Kagera leo
Mama akiwa na mwanae wakati wa mkutano wa kampeni wa Mgombea Mwenza wa Urais kwa tiketi ya CCM, Mama Samia Suluhu Hassan katika jimbo la Muleba Kaskazini mkoani Kagera leo
Wananchi wakishangilia wakati wa mkutano wa kampeni wa Mama Samia uliofanyika leo katika jimbo la Muleba Kaskazini.
Mgombea Ubunge jimbo la Muleba Kaskazini mkoani Kagera, Charles Mwijage akiomba kura kwa wananchi wakati wa mkutano wa kampeni uliofanyika leo katika jimbo hilo
Bango la kumfagilia Mgombea Urais kwa tiketi ya CCM, Dk. Jihn Magufuli katika mkutano wa kampeni jimbo la Muleba Kaskazini likiwa limeinuliwa kumfikishia ujumbe Mgombea Mwenza wa Urais kwa tiketi ya CCM, Mama Samia Suluhu Hassan.
Wananchi wakishangilia kwenye mkutano wa kampeni jimbo la Muleba Kaskaskazini
Kazi na dawa!
Mtoto akimfuata mwenzake kumnyang'anyana kijibendera cha CCM, wakati wa mkutano wa kampeni wa Mama samia uliofanyika jimbo la Muleba Kaskazini mkoani Kagera leo
Kisha wakanyang'anyana kama hivi
Mgombea Mwenza wa Urais kwa tiketi ya CCM, Mama Samia Suluhu Hassan akimnadi Mgombea Ubunge jimbo la Muleba Kaskazini Charles Mwijage wakati wa mkutano wa kampeni uliofanyika katika jimbo hilo leo. Kulia ni Mgombea Ubunge jimbo la Meleba Kusini, Profesa Anna Tibaijuka.
Wagombea Udiwani jimbo la Muleba Kaskazini, wakiwasalimia wanachi walipotambulishwa na Mgombea Mwenza wa Urais kwa tiketi ya CCM, Mama Samia, katika mkutano wa kampeni uliofanyika katika jimbo hilo leo.
Mgombea Mwenza wa Urais kwa tiketi ya CCM, Mama Samia Suluhu Hassan akiagana na wagombea Udiwani katika jimbo la Muleba Kaskazini, baada ya mkutano wa kampeni uliofanyika katika jimbo hilo leo. Kulia ni Mratibu wa kampeni za Mama Samia, Anhela Kizigha.

























No comments:
Post a Comment