What's Trending?

Labels

Ads

Friday, October 30, 2015

Kuanguka Mumewe Kwampa Kiwewe! Joyce Kiria


‘Host’ wa Kipindi cha Wanawake Live, Joyce Kiria .
Na Imelda Mtema

‘HOST’ wa Kipindi cha Wanawake Live, Joyce Kiria ameonekana kuwewesekea matokeo ya uchaguzi baada ya mumewe aliyekuwa akigombea Ubunge Jimbo la Mwanga kushindwa.
Baada ya matokeo kutangazwa, Joyce alijikuta akiandika waraka mzito kwenye ukurasa wake wa Facebook akieleza jinsi alivyoyapokea matokeo hayo kwa maumivu.

Akizungumza na Ijumaa, Joyce alisema kushindwa si kitu cha ajabu kwani unaangalia umeshindwaje lakini kwa hili la mumewe hakuridhishwa na mchakato.

“Nimeumia sana mume wangu kukosa ubunge lakini najiuliza kwa nini walikuwa wakimkatalia kuhesabu kura kwa mara ya pili? Hivi vitu vinaumiza sana, vikitokea lazima upatwe na kiwewe,” alisema Joyce.

CHANZO NI globalpublishers 
LIKE PAGE YETU YA FACEBOOK HAPA CHINI                                                                                        

No comments:

Post a Comment