Eneo la jukwaa litakalowasha moto kwa washiriki sita walioingua fainali za Bongo Star Search (BSS 2015) hii ni muda huu mtandao wako mtiwadawablogspot tukiwa moja kwa moja tukikuletea matukjio yote ‘LIVE’. (Picha zote na Andrew Chale).
Rommy Jones akifanya mahojiano na watu mbalimbali wanaendelea kuingia ndani ya ukumbi wa King Solomon kunakofanyika fainali za BSS 2015 kwa washiriki sita waliobakia ambao mmoja wapo anaibuka na kitita kinono…
Wadada warembo wa Huawei wakiwa tayari kukuhudumia na kukupa maelezo kabambe ya namna ya ubora wa simu za Huawei ikiwemo P8 anayotamba kwa sasa..
Wadada wa Huawei wakiwa katika ubora wao ndani ya kuingia kwenye ukumbi wa King Solomon Hall katika msimu wa nane wa BSS 2015.
endelea kufuatilia kwa habari na picha zaidi hapa hapa…
No comments:
Post a Comment