What's Trending?

Labels

Ads

Friday, October 30, 2015

Dr. Magufuli Akabidhiwa Rasmi CHETI Cha Ushindi wa Kiti cha Urais

Mwenyekiti wa Tume ya Taifa ya Uchaguzi, Jaji Mstaafu Damian Lubuva amemkabidhi cheti cha ushindi wa kiti cha urais, Dk John Pombe Magufuli na mgombea mwenza wake Samia Suluhu katika Ukumbi wa Diamond Jubilee asubuhi hii.Katika tukio hilo, Wagombea uraisi
wa Chadema Edward Lowassa na Hashim Rungwe wa Chauma wamesusia sherehe hizi za kukabidhiwa cheti cha ushindi Dk John Magufuli wa CCM.

Tazama Video hii kujionea Walivyokabidhiwa vyeti
LIKE PAGE YETU YA FACEBOOK HAPA CHINI                                                                                        

No comments:

Post a Comment