What's Trending?

Labels

Ads

Friday, September 25, 2015

WACHAWI WATATU WADONDOKA NA UNGO WAKISAFIRI ANGANI HUKO NJOMBE!


Watu wanaodaiwa kuanguaka kwa imani za kishirikina wilayani Wanging'ombe wakiwa kwenye gari la polisi.Watu Watatu ambao hawajajulikana majina yao jinsi ya kiume
wamekutwa wameanguka katika kijiji cha Utiga wilayani Wanging'ombe mkoani Njombe kwa imani za kishirikina.

Watu hao wakiondolewa na polisi eneo la tukio
Watu hao ambao hawajafahamika mara moja wanakotoka wanadaiwa kuwa walikuwa safarini kuelekea Songea Mkoani Ruvuma lakini walipofika katika kijiji hicho ndipo walipoanguka.

Picha na Gabriel Kilamlya, Njombe

No comments:

Post a Comment