career yake bila kupigwa na boxer yoyote.Japokuwa watu bado hawajafurahia michezo 49, wanasisitiza kumaliza kwa michezo 50 ndio rekodi nzuri. Mayweather mwenyewe anaendelea kusisitiza kwamba huu ndio mchezo wake wa mwisho kwenye boxing.Karatasi
ya takwimu za mchezo huo umeonyesha jinsi gani Mayweather amecheza vizuri na kushinda bil ubishi.
No comments:
Post a Comment