What's Trending?

Labels

Ads

Saturday, September 5, 2015

HUYU NDIYE MGOMBEA UBUNGE MWENYE UMRI MDOGO KULIKO WOTE KWA UCHAGUZI MWAKA HUU

 
Unaweza ukawa unatahamaki uchaguzi wa mwaka huu umehusisha vijana wengi katika nafasi za udiwani na hata ubunge katika sehemu nyingi hapa nchini. Vyama vingi vya siasa kwa msimu huu wa uchaguzi vimesimamaisha vijana wengi katika nafasi nyingi za uongozi. Nimekuwekea hapa Mgombea mwenye umri mdogo kuliko wote katika nafasi ya ubunge kwa uchaguzi wa October 25 mwaka huu
Anaitwa Luth Kitentya Shaban Ana umri wa miaka 21, ni mgombea ubunge wa jimbo la kibiti hapa mkoani dar es salaam akigombea kupitia chama cha ACT WAZALENDO




No comments:

Post a Comment