What's Trending?

Labels

Ads

Friday, September 25, 2015

GENERAL DAVIS MWAMUNYANGE YUPO SALAMA, PUUZENI HABARI ZA KIZUSHI ZILIZOZAGAA

Taarifa zinazosambaa kumhusu Mkuu Wa Majeshi, General Davis Mwamunyange kwamba amekula chakula chenye sumu na amekimbizwa jijini Nairobi nchini Kenya kwa matibabu hazina ukweli wowote. Ni uzushi.

General Mwamunyange yupo nchini Italia kwa ziara ya kikazi kama anavyoonekana pichani na hajambo kabisa bukheri wa afya.

No comments:

Post a Comment