What's Trending?

Labels

Ads

Thursday, August 13, 2015

Wananchi wazuia Msafara wa LOWASSA wakitaka Kumuona Mkoani Kilimanjaro


 Polisi mkoani Kilimanjaro wakiwa wameuzuia msafara wa Waziri Mkuu Mstaafu na Mgombea Urais kupitia Chadema na anaeungwa mkono na UKAWA, Edward Lowassa katika kijiji cha Maroro, Wilayani Mwanga mkoa wa Kilimanjaro, hii leo wakati anakwenda
kuhudhuria mazishi ya Kada na Mwasisi wa Chama cha Mapinduzi CCM, mzee Peter Kisumo huko Usangi.


Edward Lowassa akizungumza na wanacham wa vyama mbalimbali walioji
Kisumo aliaga dunia Agosti 3, 2015, katika Hospitali ya Taifa Muhimbili, Dar es Salaam, ambako alikuwa anapatiwa matibabu ya figo, ikiwa ni mwezi mmoja tangu arejee nchini akitokea nchini India.

No comments:

Post a Comment