What's Trending?

Labels

Ads

Friday, August 14, 2015

PICHA: YALIYOJIRI KWENYE MKUTANO WA UKAWA MKOANI MBEYA LEO

 Mgombea Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania wa UKAWA kupitia Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), Mh. Edward Lowassa  akiongea na wananchi wa mkoani Mbeya leo alipokuwa ajitambulishwa kama mgombea wa UKAWA.

 
Umati wa watu wakiwemo wafuasi wa vyama vya Siasa vinavyounda UKAWA ukiwa umefurika

No comments:

Post a Comment