What's Trending?

Labels

Ads

Saturday, August 22, 2015

Breaking News: Waziri Mkuu wa Zamani, Fredrik Sumaye Aikimbia CCM Na Kuhamia UKAWA

Aliyekuwa Waziri mkuu wa Serikiali ya awamu ya Tatu Fredrick Sumaye ametangaza rasmi kujiunga na umoja wa katiba ya wananchi (UKAWA) na kuungana na Waziri mkuu wa awamu ya nne Edward lowassa.

Akizungumza na waandishi wa Habari leo mchana Jijini Dar es salaam ,Sumaye amesema amefikia hatua hiyo baada ya kuchoshwa na uvunjaji wa kununi ndani ya CCM ikiwemo katika harakati za kumteua mgombea wa Urais kwa upande wa CCM akidai mwenyekiti wa chama hicho Jakaya Kikwete alitumia ubabe katika kuwaingiza watu wake tano bora.

No comments:

Post a Comment