What's Trending?

Labels

Ads

Friday, July 31, 2015

SASA HESHIMA YA BATULI IMESHUKA ..NAYE AJIINGIZA KUPIGA PICHA HIZI ZISIZO NA MAADILI..AMLAANI KITALE KWA KUVUJISHA


Staa wa mrembo wa Bongo Movie, Batuli ameonyesha kuchukizwa kwake kwa kitendo cha staa mwenzake, Kitale kuvujisha picha hizi akiwa faragha na mwigizaji chipukizi, Stanbakora ikiwa ni kati ya moja ya kipande cha kazi yao mpya, kwa madai kuwa anaipa ‘promo’.

Kupitia ukurasa wake mtandao Batuli ameeleza kuwa Kitale alimpa picha hizo Mateja ambaye ndiye aliezisambaza kwenye mtandao wa Instagram.


No comments:

Post a Comment