What's Trending?

Labels

Ads

Friday, July 24, 2015

MAGUFULI APOKELEWA VIZURI KAHAMA NA NZEGA AKIWA NJIANI KURUDI DODOMA

 Mgombea wa Urais kupitia CCM Dk.John Magufuli akiwasalimu wakazi wa kaya ya Masumbe wilaya ya Mbogwe mkoani Geita wakati akiwa njiani kurejea Dodoma.

 Wananchi wa Kahama wakiwa wamejitokeza kwa wingi kumlaki mgombea wa Urais kupitia CCM Dk.John Pombe Magufuli ambaye alipita kuwasalimia akiwa njiani kuelekea Dodoma.
 Mgombea wa Urais kupitia CCM Dk.John Pombe Magufuli akiwasili nje ya ofisi za CCM Kahama na kupata mapokezi makubwa.
 Mgombea wa Urais kupitia CCM Dk.John Pombe Magufuli akiwasalimu wananchi wa Kahama waliojitokeza kwa wingi nje ya ofisi ya CCM Kahama mkoani Shinyanga.
 Mgombea wa Urais kupitia CCM Dk.John Pombe Magufuli akiwasalimu wananchi waliojitokeza kumpokea nje ya ofisi za CCM Nzega.
 Mgombea wa Urais kupitia CCM Dk.John Pombe Magufuli akisalimiana na Hussein Bashe nje ya ofisi ya CCM Nzega mkoani Tabora
 Mgombea wa Urais kupitia CCM Dk.John Pombe Magufuliakisaini vitabu vya wageni kabla ya kuwasalimu wakazi wa Nzega.
 Naibu Katibu Mkuu wa CCM (Bara) Ndugu Rajab Luhwavi akitoa salaam za utangulizi kabla ya kumkaribisha Mgombea wa Urais kupitia CCM Dk.John Pombe Magufulikuwasalimu wakazi wa Nzega.
 Wananchi wa Nzega wakishangilia ujio wa Mgombea wa Urais kupitia CCM Dk.John Pombe Magufuli
 Mgombea wa Urais kupitia CCM Dk.John Pombe Magufuli(kulia) akisalimiana na Mbunge wa Nzega Vijijini Dk. Hamisi Kigwangala
 Hussein Bashe amabaye ametia nia ya kugombea ubunge jimbo la Nzega Mjini akisalimia wakazi wa Nzega waliojitokeza kwa wingi kumsalimu Mgombea wa Urais kupitia CCM Dk.John Pombe Magufuli
 Mgombea wa Urais kupitia CCM Dk.John Pombe Magufuli akisalimiana na Mwenyekiti wa CCM mkoa wa Shinyanga Khamis Mgeja wakati wa kuwasalimia wananchi wa Nzega.
 Mama Janet Magufuli akisalimia wakazi wa Nzega nje ya ofisi ya CCM wilaya.

Mgombea wa Urais kupitia CCM Dk.John Pombe Magufuliakiwasalimu wakazi wa Nzega kwenye mkutano uliofanyika nje ya ofisi ya CCM wilaya ambapo aliwaambia amefarijika na mapokezi mazuri na amewaahidi kurudi tena wakati wa kampeni zitakapoanza.

No comments:

Post a Comment