
Kikao cha Kamati Kuu ndani ya Chama Cha Demokrasia na Maendeleo Chadema kilichodumu kwa muda wa masaa kadhaa na kumalizika usiku wa kuamkia leo katika Jijini Dar es Salaam kimekubali kuwa kitampokea Lowassa ili awe mwanachama wa chama hicho
na pia mara baada ya kukabidhiwa tu kadi kuna baadhi ya mambo yataanza kuwekwa wazi.
na pia mara baada ya kukabidhiwa tu kadi kuna baadhi ya mambo yataanza kuwekwa wazi.
Baadhi ya mambo hayo ni pamoja na kummtangaza Lowassa siku ya Jumanne Kilimanjaro Kempysk Hotel Dar es Salaam kuwa mgombea urais wa Chama hicho kama ilivyokubaliw ana UKAWA kwamba watatangaza ni chama kipi kitamsimamisha mgombea urais.... Taarifa za ndani zinasema tukio ambalo litarushwa live na ITV, saa 10 jioni litaibua mijadala mizito juu ya sula hilo.
No comments:
Post a Comment