What's Trending?

Labels

Ads

Sunday, July 5, 2015

LA GALAXY WAMPA GERRARD JEZI YAKE YA LIVERPOOL

Gerrard jezi
Mkongwe wa klabu ya Liverpool Steven Gerrard jana ametambulishwa rasmi kwenye klabu yake mpya ya  LA Galaxy ya nchini Marekani  
Baada ya kutambulishwa rasmi, nahodha huyo wa zamani wa ‘The reds’ amekabidhiwa jezi namba nane ambayo ndio aliyokuwa anaivaa wakati akiwa Liverpool.
Utambulisho huo uliambatana na maneno haya:
‘Welcome to Los Angeles, Steven Gerrard! #GR8NESS’.

No comments:

Post a Comment