What's Trending?

Labels

Ads

Friday, July 10, 2015

EMMANUEL OKWI ATAMBULISHWA DENMARK

IMG-20150710-WA0008

Klabu ya Sonderjyske ya nchini Denmark imemkaribisha mshambuliaji wake mpya, Raia wa Uganda,
 Emmanuel Okwi na kumkabidhi jezi yake namba 25 ambayo alikuwa anaitumia alipokuwa anacheza Simba.

No comments:

Post a Comment