What's Trending?

Labels

Ads

Sunday, July 5, 2015

Chile ndio mabingwa wa Copa America

Chile imewashinda Argentina kupitia kwa mikwaju ya penalti na kushinda kombe kubwa zaidi kati ya nchi za Marekani ya kusini la Copa Amerika.

nullSanchez
Hili ndilo kombe la kwanza la kimataifa kuwahi kushindwa na Chile.
Chile ambayo ni waandalizi waliwashinda Argentina mabao 4-1 kupitia mikwaju ya penalti baada ya timu zote kukosa kufunga.
null
Wachezaji wa Argentina
Ni miaka 22 tangu Argentina washinde kombe lolote kubwa kwenye mashindano ya kandanda ya kimataifa.
nullMashabiki
Mchezaji wa Arsenal Alexis Sanchez alifunga bao la ushindi baada ya mshambuliaji wa Argentina Gonzalo Higuain kupiga nje huku mkwaju wa Ever Banega ukinyakwa na kipa Claudio Bravo.
null 
Vidal
Awali Higuain alikuwa amekosa bao la wazi aliposalia na kipa baada ya dakika 90 za mchezo.
nullMessi kwa mara nyingine ashindwa kuipatia taifa lake taji
Sanchez karibia afunge katika dakika za ziada.
nullHiguain akikosa penalti
Miongoni mwa maelfu ya mashabiki waliojaa kuishabikia timu yao ni wachimba mgodi 33 waliokwama chini ya mgodi kwa wiki kadhaa mwaka 2010,katika kisa kilichovutia hisia nyingi dunia

No comments:

Post a Comment