Hali ya vuta ni kuvute inaendelea kote nchini Burundi ambapo mapambano makubwa imeripotiwa sehemu mbalimbali. Milio mengi ya risasi na maripuko ya ma bom imesikika katika tarafa ya Jabe, bwiza, Ngagara, Cibitoke, Nyakabiga, Musaga na hata mkoani
Bujumbura vijijini. Baada ya mashambulizi makali uko mkoani Kayanza na Muyinga, duru ya kuaminiwa zimetaja kuwa kuna kundi kubwa ya watu wenye silaha nzito nzito walijaribu kuingia nchini Burundi kupitia Gatumba na katika pori la Rukoko wakitokea nchini Congo. Wakati hayo yakiendelea raisi Nkurunziza anaendelea na kampeni zake za kuania kiti cha uraisi mkoani Bujumbura vijijini. Mpaka sasa jeshi wala polisi la taifa awajakanusha wala kuthibitisha habarii hizi za mashambuzi makali sehemu kadha nchini Burundi, jambo ambalo bila shaka inaendelea kukuza hofu na wasiwasi mkubwa miongoni mwa raia. Hiyo jana tarehe 10 Julai mtu moja ndiye amearithiwa kuuawa tarafani Buterere na mwingine kujeruliwa vibaya na askari polisi walikua wakifyatuwa risasi ovyo. Kunako mapambano ya iyo jana Julai 10 jeshi la taifa na makundi la watu wanao bebelea silaha uko mkoani Kayanza tarafani kabarore, tumepata habari kwa tukio ilo kwamba wajeshi wawili ndio wameuawa na wengine wengi kujeruliwana. Upande wa jeshi wametaja kwamba wavamizi wawili ndio wameuawa na umoja kukamtwa. Nivigumu wakati huu kujuwa ukweli na idadi rasmi ya vifu na majeruwi. Mwingoni mwa vamizi aliye kamatwa alikua jeshi wazamani wa taifa ya Burundi, jambo ambalo inathibitisha kwamba kuna wajeshi walio toroka kambi zao na kujiunga na wapinzani wa Nkurunziza. Cha kushangaza hata watangazaji nasi waandishi wa habari wanazuwiliwa kuingia kwenye hospitali kuliko ifadhiwa mihili ya majeshi hao. Mashambulizi makali imeendeshwa katika kilima cha Buyumbu na wavamizi hao wamethibitisha kuwa malengo yao ilikua kufika mjini kati Bujumbura ndipo waanzishe mapambano makali. Tuwafaamishe kuwa hali hii mbaya ya Burundi imeanza pale ambapo raisi Nkurunziza alipo tangaza dhamira yake yakugombea muula wa tatu wakuongoza uliyo kinyume na katiba ya nchi na vile vile mkataba wa amani wa Arusha. Hadi sasa watu zaidi ya 80 wamekwisha uawa na laki na nusu kuihama Burundi na wa miya wametekwa nyara na idara ya Ujasusi ama documentation na mpaka sasa aijulikani walipo na uku vijana mwengine wakishikiliwa rumande na polisi kwa kosa pekee ya kushiriki kunako maandamano iliyo dumu kwa zaidi ya miezi miwili. Kwa habari ambao tumeipata kwasasa kuna vijana wa 5 wameshikiliwa uko mkoani Bubanza kwa kujaribu tu kuihama nchi ya Burundi kwa kuofia machafuko.

No comments:
Post a Comment