What's Trending?

Labels

Ads

Saturday, July 11, 2015

ALICHOKISEMA MEMBE KUHUSU MTU ALIYEKAMATWA NA MAMILIONI: KUHONGA WAJUMBE


mchana kulikuwa na habari zilizonea mitandaoni kwamba kuna mtu ambaye alikamatwa na mabilioni ya pesa Dodoma, kingine ni kwamba alikamatwa na simu ikiwa na maelekezo kwamba pesa hizo ni za kuwapatia Wajumbe.
Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa, Bernard Membe aliandika ujumbe @Twitter kukanusha kuhusika na mtu huyo
 “Kuna taarifa za uongo zinazoenezwa kwamba kuna “Mtu wa Membe” amekamatwa na pesa Dodoma“
Kwenye Tweet nyingine Waziri Membe ameandika hivi ”siasa hizi ni za hovyo kwani hazitajenga Taifa letu. Naomba msihadaike na watu wanaotaka kututia doa baada ya kukosa uchafu dhidi yetu”  @BernardMembe

No comments:

Post a Comment