Nani amesema umechelewa kuoa au kuolewa? kuna watu huwa na wasiwasi kuwa wamechelewa kufunga ndoa kwa madai umri umekwenda lakini kwa George Kirby na Doreen Luckie imekua tofauti kabisa baada ya kuamua kufunga ndoa wakiwa na umri
mkubwa.
George mwenye miaka 103 na Doreen mwenye miaka 91 waliamua kutimiza ndoto yao hiyo ya siku nyingi kwa kufunga ndoa.
Wawili hao wamefunga ndoa baada ya kuwa kwenye uhusiano kwa miaka 27 huku kila mmoja akisema hajutii kuchelewa kufanya maamuzi hayo.
Sherehe hiyo ya aina yake ambayo ilifanyika katika hotel ya Eastbourne, Kusini mwa
Uingereza ilihudhuriwa na watu mbalimbali wakiwemo ndugu na marafiki wa karibu wa familia hiyo.
Wapiganaji 13 wa kundi la Al-shabab wameuawa baada yao kushambulia kituo cha kijeshi cha Baure kilichoko eneo la Lamu katika pwani ya Kenya.
Msemaji wa jeshi la Kenya kanali David Obonyo ameithibitishia BBC kuwa wapiganaji hao walivamia kambi hiyo ya kijeshi muda wa 5:45 alfajiri ya leo lakini walizidiwa nguvu kabla hawajaingia ndani ya kambi hiyo.

Kanali Obonyo alisema kuwa wawili kati ya wale waliouawa ni watu wenye asili ya kizungu.
Hata hivyo hakuna aliyepatikana akiwa hai ingawa washambuliaji wengine wa Al Shabaab wanasemekana kukimbilia katika msitu mkubwa wa Bony ambapo wanajeshi wamewafata.
Pia kanali Obonyo amesema kuwa wamepata zana kali na za kisasa za kivita ambazo zilikuwa zinatumiwa na wapiganaji hao.
- See more at: http://mwanaharakatimzalendo.blogspot.com/2015/06/kundi-la-al-shabab-lapata-pigo-kenya.html#sthash.tjVeKBCc.dpufWapiganaji 13 wa kundi la Al-shabab wameuawa baada yao kushambulia kituo cha kijeshi cha Baure kilichoko eneo la Lamu katika pwani ya Kenya.

- See more at: http://mwanaharakatimzalendo.blogspot.com/2015/06/kundi-la-al-shabab-lapata-pigo-kenya.html#sthash.tjVeKBCc.dpuf
No comments:
Post a Comment