What's Trending?

Labels

Ads

Saturday, June 13, 2015

TAZAMA YOTE YALIYOJIRI HAPA KWENYE TUZO ZA KTMA 2015

















































Staa wa filamu za Kibongo, Wema Sepetu 'Beautiful Onyinye' akimtaja mshindi.
Joh Makini akiwashukuru mashabiki wake (hawapo pichani) baada ya kuchukua tuzo ya Mtunzi Bora wa mwaka wa Hip Hop akiwa na Nikki Wa Pili (kushoto).

Msanii wa Bongo Fleva, Vanessa Mdee.
Vanessa akiwapagawisha mashabiki wake (hawapo pichani).

Hii ni orodha nzima ya washindi wa KTMA 2015:

Mtumbuizaji bora wa muziki wa kiume wa mwaka – Alikiba

Mwimbaji bora wa kike Bongo Flava ameshinda – Vanessa Mdee

Msanii bora wa kiume Taarab – Mzee Yusuph

Mwimbaji bora wa kike Taarab – Isha Mashauz

Mwimbaji bora wa kiume bendi – Jose Mara

Wimbo bora wa mwaka wa muziki wa Taarab – Mapenzi Hayana Dhamana – Isha Mashauzi

Wimbo bora wa mwaka – Mwana (Alikiba))

Wimbo bora wa Kiswahili bendi – Walewale (FM Academia)

Wimbo bora wa muziki wa R&B – Sisikii (Jux)

Wimbo bora wa Hip Hop – Kipi Sijasikia (Professor Jay)

Wimbo bora wa Reggae & Dance Hall – Let Them Know (Maua Sama)

Rapper bora wa mwaka, bendi – Ferguson

Msanii bora wa Hip Hop – Joh Makini

Wimbo bora wa Afrika Mashariki – Sura Yako (Sauti Sol)

Mtunzi bora wa mwaka, Taarab – Mzee Yusuph

Mtunzi bora wa mwaka, Bongo Flava – Alikiba

Mtunzi bora wa mwaka, bendi – Jose Mara

Msanii bora chipukizi – Baraka Da Prince

Mtunzi bora wa mwaka Hip Hop – Joh Makini

Bendi bora ya mwaka – FM Academia

Mtayarishaji bora wa nyimbo, Bongo Flava – Nahreel

Mtayarishaji bora wa nyimbo wa mwaka, Taarab – Enrico

Mtayarishaji bora wa nyimbo wa mwaka, bendi – Amoroso

Wwimbo bora wenye vionjo vya asili ya Kitanzania – Mrisho Mpoto

Kikundi bora cha mwaka muziki wa Taarab – Jahazi Modern Taarab

Kikundi bora cha mwaka muziki wa Bongo Flava – Yamoto Band

No comments:

Post a Comment