What's Trending?

Labels

Ads

Sunday, June 28, 2015

Tangazo la kuitwa kwenye usaili kwa wahitimu wa kidato cha nne mwaka 2014



jeshi la polisi Tanzania limetoa orodha   wahitimu wa kidato cha nne 2014 waliochaguliwa kushiriki USAILI wa kujiunga na jeshi la polisi Tanzania mwaka 2015.
kuona majina na ratiba bonyeza  hapa
Ni vema ukachungulia shule za katani kwako ili ukimwona mhusika apewe taarifa ili akashiriki.
Usaili utaanza 03.07.2015.

No comments:

Post a Comment