Waziri wa Maliasili na Utalii, Lazaro Nyalandu, akionyesha mkoba wenye fomu za kuwania nafasi ya urais kupitia Chama Cha Mapinduzi (CCM) baada ya kukabidhiwa katika Makao Makuu ya CCM mjini
Dodoma. Pembeni ni mkewe Bi. Faraja Nyalandu.
Dodoma. Pembeni ni mkewe Bi. Faraja Nyalandu.
Waziri wa Maliasili na Utalii, Lazaro Nyalandu, akizungumza na waandishi wa habari (hawapo pichani) mara baada ya kuchukua fomu za kuwania nafasi ya urais kupitia Chama Cha Mapinduzi (CCM) katika Makao Makuu ya CCM mjini Dodoma. Pembeni ni mkewe Faraja.
Waziri wa Maliasili na Utalii, Lazaro Nyalandu, akipongezwa na baba yake mzazi, Mzee Samuel Nyalandu, baada ya kukabidhiwa fomu kwa ajili ya kuwania nafasi ya urais kupitia Chama Cha Mapinduzi (CCM) baada ya
kukabidhiwa katika Makao Makuu ya CCM mjini Dodoma
No comments:
Post a Comment