What's Trending?

Labels

Ads

Sunday, June 7, 2015

Kocha wa Barcelona hajui hatma yake



Mkufunzi wa Barcelona Luis Enrique amekataa kujadili hatma yake ama kuthibitisha iwapo ataendelea kuifunza Barcelona licha ya kuipatia timu hiyo mataji matatu.Enrique,katika msimu wake wa kwanza kama kocha katika kilabu ya Barcelona baada ya
kumrithi Gerardo Martino aliongeza kombe la vilabu bingwa baada ya kupata lile la Copa Del Rey pamoja na La liga kwa kuicharaza timu ya Juventus katika fainali iliochezwa katika uwanja wa Olimpiki mjini Berlin.

No comments:

Post a Comment