What's Trending?

Labels

Ads

Wednesday, June 17, 2015

KIONGOZI WA CHAMA CHA ACT WAZALENDO ZITTO KABWE APATA MAPOKEZI MAKUBWA MJINI KIGOMA

1 
Kiongozi wa chama cha ACT Wazalendo, Zitto Kabwe, akiwapungia mkono wakazi wa mji wa Kigoma jana wakati akiwasili kabla ya kufanya mkutano wahadhara wa kutambulisha viongozi wa chama hicho.
5
Mwenyekiti wa chama cha ACT Wazalendo, Anna Mghwira, akiwapungia mkono wakazi wa mji wa Kigoma jana wakati akiwasili kabla ya kufanya mkutano wahadhara wa kutambulisha viongozi wa chama hicho.
6
7
Kiongozi wa chama cha ACT Wazalendo, Zitto Kabwe, akicheza wimbo wa chama ulioimbwa na msanii, Baba Levo, wakati wa mkutano wahadhara mjini Kigoma jana.
2
Baadhi ya wakazi wa mji wa Kigoma wakifuatilia mkutano wa hadhara wa chama cha ACT Wazalendo mjini Kigoma jana.
3
4
1 Kiongozi wa chama cha ACT Wazalendo, Zitto Kabwe, akiwapungia mkono wakazi wa mji wa Kigoma jana wakati akiwasili kabla ya kufanya mkutano wahadhara wa kutambulisha viongozi wa chama hicho. 5 Mwenyekiti wa chama cha ACT Wazalendo, Anna Mghwira, akiwapungia mkono wakazi wa mji wa Kigoma jana wakati akiwasili kabla ya kufanya mkutano wahadhara wa kutambulisha viongozi wa chama hicho. 6 7 Kiongozi wa chama cha ACT Wazalendo, Zitto Kabwe, akicheza wimbo wa chama ulioimbwa na msanii, Baba Levo, wakati wa mkutano wahadhara mjini Kigoma jana. 2 Baadhi ya wakazi wa mji wa Kigoma wakifuatilia mkutano wa hadhara wa chama cha ACT Wazalendo mjini Kigoma jana. 3 4

Copy and WIN : http://ow.ly/KNICZ

No comments:

Post a Comment