What's Trending?

Labels

Ads

Sunday, June 14, 2015

JIONEE MWENYEWE WALIOPENDEZA NA WALIOCHEFUA KATIKA KTMA 2015 PALE MLIMANI CITY

 

 Wema Sepetu alitoka Hivi akiwa Kapendeza kama ilivyokawaida yake katika Sehemu mbalimbali za Tafrija huwaga haaribu hata Kidogo.
Faiza Ally kama Kawaida yake ameweza kuwaacha watu Midomo wazi kwa kivazi hichi katika Red Carpet ya Tuzo za Kilimanjaro Tanzania Music Awards 2015. 

Petit-Man Wakuache naye alikuwa Miongoni mwa Wageni walioweza pata Mualiko wa kuhudhuria Tuzo hizo za Kilimanjaro Tanzania Music Awards 2015. 
Ommy Dimpoz akiwa na Mtangazaji wa CloudsTv akifanya Mahojiano kabla ya Kuanza Utolewaji wa Tuzo za Kilimanjaro Tanzania Music Awards 2015. 
Kundi la NavyKenzo wakiwa katika RedCarpet ya KTMA2015
Mtangazaji wa Choice Fm Abby na Mtangazaji wa CloudsFm Dj Fety wakiwa katika pozi Kabla ya Kuanza Tuzo za Kilimanjaro 2015.

No comments:

Post a Comment